nida-tz
Version:
Karibu katika npm hii ya kupata taarifa za namba za nin
72 lines (55 loc) • 1.28 kB
Markdown
# nida-tz
npm package kwa data za nin.
## 1. Installation
```bash
npm install nida-tz
# au
npm i nida-tz
```
## 2. Jinsi ya Kutumia
### _using import_
```javascript
import { getNin } from "nida-tz";
const nin = "XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX"
(async () => {
const userData = await getNin(nin);
console.log(userData);
}
)();
```
### _using require_
```javascript
const nidaTz = require("nida-tz");
const nin = "XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX"
(async () => {
const userData = await nidaTz.getNin(nin);
console.log(userData);
}
);
```
## 3. Matokeo
```bash
nin: 'XXXXXXXXXXXXXXXXXXXX',
nationality: 'Nationality',
dob: 'YYYY-MM-DD',
sex: 'SEX',
fName: 'First name',
mName: 'Middle name',
lName: 'Last / Surname'
```
## 4. Maana ya Baadhi ya Jumbe
### **Mtumiaji hakupatikana**
- 1. Namba si sahihi.
- 2. Namba haikutambulika.
- 3. Ingiza namba sahihi kuendelea
### **Imeshindwa kupata data**
- 1. Kuna tatizo la kimchakato au mtandao.
- 2. Jaribu tena baada ya muda mchache.
## 5. **ANGALIZO**
- **Namba inapaswa kuwa katika mfumo wa string.**
- **Package hii ni kwa majaribio**
- **Package hii haiusiki na matumizi yoyote yasiyo ya kimaadili**
### **Maktaba hii si rasmi**