@mdkva/surahkit
Version:
MDKVA SurahKit provides clean, reliable, and easily accessible Quran data ideal for apps, Islamic tools, AI systems, and automation projects.
32 lines • 1.49 kB
JSON
[
{
"id": "1",
"surah": "The Opener",
"verses": "1-7",
"text": "Kwa jina la Mwenyezi Mungu, Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu. Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; Mwingi wa Rehema, Mwenye Kurehemu; Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo. Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada. Tuongoe njia iliyo nyooka, njia ya uliowaneemesha, siyo ya waliokasirikiwa, wala waliopotea."
},
{
"id": "103",
"surah": "The Decline Day",
"verses": "1-3",
"text": "Naapa kwa Zama! Hakika binaadamu bila ya shaka yumo katika khasara, ila wale walioamini, na wakatenda mema, na wakausiana kwa haki, na wakausiana kusubiri."
},
{
"id": "112",
"surah": "The Sincerity",
"verses": "1-4",
"text": "Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee. Mwenyezi Mungu Mkusudiwa. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hana anaye fanana naye hata mmoja."
},
{
"id": "113",
"surah": "The Daybreak",
"verses": "1-5",
"text": "Sema: Najikinga kwa Mola Mlezi wa mapambazuko, na shari ya alivyo viumba, na shari ya giza la usiku liingiapo, na shari ya wanaopulizia mafundoni, na shari ya hasidi anapohusudu."
},
{
"id": "114",
"surah": "The Mankind",
"verses": "1-6",
"text": "Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu, Mfalme wa wanaadamu, Mungu wa wanaadamu, na shari ya wasiwasi wa Shetani Khannas, anayetia wasiwasi katika vifua vya watu, kutokana na majini na wanaadamu."
}
]